Excel ya Orodha ya Wageni

Acha kuandika majina kwenye madaftari na kwenye WhatsApp group. Weka wageni wako wote kwenye fomu moja, kisha utupe, sisi tutamtumia kila mmoja mwaliko wake kwa WhatsApp na SMS.

  • Safu tayari: jina kamili, namba ya simu, na idadi ya watu
  • Inafanya kazi kwenye Excel, Google Sheets, na Numbers
  • Ni fomu ile ile tunayotumia kutuma mialiko, hutaandika upya
  • Unajua kila mwaliko unahusu watu wangapi

Kilichomo ndani

Jina kamili
Simu
Watu
Amani Katabila
+255 700 000 001
2
Neema Mushi
+255 700 000 002
1
Juma Hassan
+255 700 000 003
4

Ijaze na wageni wako. Ukiwa tayari, Mialiko itamtumia kila mmoja mwaliko wake, hakuna anayeachwa.