Kufuatilia Michango na Wageni

Kukusanya michango ni kitu kimoja. Kingine ni kuamua kila mtu apewe kadi ya watu wangapi, na hilo mara nyingi hutegemea kachangia kiasi gani. Excel hii inafanya vyote: wewe andika pesa tu, idadi ya watu wa kila kadi inajihesabu yenyewe, na unabaki na orodha ya wageni wanaotakiwa kutumiwa mialiko.

  • Kila mtu mstari wake: ameahidi, amelipa, imebaki na status, vyote pamoja
  • Andika kila malipo na tarehe yake na njia aliyotumia (M-Pesa, Airtel Money, cash na nyingine)
  • Taarifa ya 'kadi ni watu wangapi' inajijaza kutokana na kachangia kiasi gani, kwa tiers/sheria utakazoziwaeka mwenyewe
  • Unaweza ukaoveride taarifa ya 'kadi ni watu wangapi'
  • Utapata sheet iliyobeba Orodha ya wageni (Jina , Namba ya simu, Wangapi) wanaotakiwa kutumiwa mialiko, kulingana na kiasi walicholipa
  • Unapata summary inayokuonyesha total iliyoingia, bado inayodaiwa na watu unaowategemea kuja

Chagua Kiingereza au Kiswahili. Zote ni Excel ile ile.

Kiasi hupanga watu wangapi

Jina
Amelipa
Entries
John Mbwana
200,000
2
Asha Juma
150,000
1
Neema Group
60,000
0