Endesha biashara yako ya mialiko kwa kutumia Mialiko

Tumia Mialiko kama mfumo wa biashara yako. Toa huduma ya mialiko ya kidijitali kwa jina lako mwenyewe, na uendeshe kila kitu wewe. Tunakufundisha vizuri mwanzoni na tunakusaidia wakati wowote ukikwama. Wewe unapanga bei zako na unabaki na faida.

Unaweza kupata kiasi gani

Make  TZS 330,000
from 1 event

Wewe unapanga bei yako kwa wateja na unatulipa ada ya mfumo tu. Tofauti iliyobaki ni faida yako.

Harusi unazotarajia kufanya1
Wageni wa wastani kwa harusi200
Unatoza kiasi gani kwa harusiTZS 400,000
Kuwa mshirika

Namba zako

Mapato

1 event x TZS 400,000 you charge

TZS 400,000
Ada ya kuanza (mara moja)

Kuandaa jina lako, kukuonyesha mfumo, na mafunzo

- TZS 50,000
Ada ya mfumo

1 event x TZS 20,000, inajumuisha wageni 200 kwa WhatsApp na SMS

- TZS 20,000
Faida yako
TZS 330,000

Ada ya kuanza inalipwa mara moja, kwa hiyo kuanzia harusi zinazofuata gharama yako pekee ni ada ya mfumo, kilichobaki ni faida.

Kwa nini ushirikiane na Mialiko

Kila unachohitaji kuuza mialiko ya kidijitali, bila kujenga kitu chochote.

Jina lako, mfumo wetu

Huduma wateja wako kwa jina la biashara yako ukitumia mfumo mzima: design ya kadi, kutuma, RSVP, na kuscan kadi ukumbini. Wewe unaendesha, mfumo unafanya kazi.

Panga bei zako mwenyewe

Wewe unaamua utawatoza wateja wako kiasi gani. Unatulipa ada ya mfumo, faida iliyobaki ni yako.

Mafunzo na msaada

Tunakufundisha wewe na timu yako kuendesha mfumo mzima wenyewe, na tupo tayari kukusaidia wakati wowote ukikwama.

WhatsApp na SMS ndani yake

Kila harusi inajumuisha mpaka wageni 200 kwa WhatsApp na SMS, bila kulipia kitu cha ziada.

Lipa kadri unavyokua

Ada moja ya kuanza, kisha ada ndogo kwa kila harusi. Hakuna server, hakuna coding, gharama zako zinaongezeka tu biashara yako ikikua.

Dashboard kamili

Simamia kila harusi, orodha ya wageni, na mialiko mwenyewe sehemu moja, ukiona kadi zilizotumwa na waliokwisha ingia.

Bei rahisi na wazi

Hakuna malipo ya kila mwezi. Lipa mara moja kuanza, kisha unalipa tu kwa harusi unazofanya.

Ada ya kuanza (mara moja)

TZS 50,000

Workspace yenye jina lako, kukuonyesha mfumo, na mafunzo. Unalipa mara moja.

Kila harusi

TZS 20,000

Kwa kila harusi unayoongeza. Inajumuisha mpaka wageni 200 kwa WhatsApp na SMS kama backup.

Wageni wa ziada

TZS 150

Kwa kila mgeni zaidi ya 200 kwenye harusi moja. Unalipa tu kama unahitaji.

Inavyofanya kazi

Anza kazi kwa hatua tatu tu.

1

Omba

Tuambie kuhusu biashara yako kwenye fomu hapa chini. Tunapitia maombi haraka.

2

Tunakuandaa na kukufundisha

Tunakutengenezea workspace yako ya Mialiko yenye jina lako, na tunakufundisha wewe na timu yako kuendesha kila kitu wenyewe.

3

Unaendesha harusi mwenyewe

Ongeza harusi za wateja wako na ulipe TZS 20,000 kwa kila harusi. Wewe unashughulikia kadi, mialiko, RSVP, na kuscan wageni, na sisi tunakusaidia unapohitaji.

Maswali ya washirika

Kila unachotakiwa kujua kabla ya kujiunga.

Hukupata unachotafuta? Wasiliana na timu yetu

Omba kuwa mshirika

Jaza fomu, timu yetu itapitia maombi yako na itakurudia ili tukuandae workspace yako.