Calculator ya Bajeti ya Harusi

Panga harusi yako bila wasiwasi. Jua harusi yako itakugharimu kiasi gani kwa TZS ndani ya dakika moja, kisha tuachie sisi kazi ya mialiko.

Hatua 1. Chagua pa kuanzia

Tunaweka bei za kawaida ili upate makadirio haraka. Unaweza kubadilisha kila kitu baadaye.

Chakula kinategemea hii. Kidokezo: orodha ya wageni mara nyingi huongezeka kwa asilimia 15 mpaka 20.

Hatua 3. Badilisha bei au ongeza vitu vyako

Bonyeza kiasi chochote ukibadilishe. Ondoa tiki kwenye kitu usichokilipia.

Ukumbi
TZS
Chakula

Kwa mgeni, jumla ndogo TZS 7,500,000

TZS
Picha na video
TZS
Mapambo
TZS
Burudani (DJ / bendi)
TZS
Magari ya harusi
TZS
Maids & bridal party
TZS
MC
TZS
Mavazi na urembo
TZS
Keki
TZS
Mialiko (ya kidijitali, tunakufanyia) Mialiko

Kwa mgeni, jumla ndogo TZS 450,000

TZS

Makadirio ya jumla

TZS 28,750,000

Umeridhika? Hifadhi ili ibaki kwenye simu yako.

Wanandoa wengi hupata sehemu kubwa kupitia kamati na michango, ambayo mara nyingi huchangisha TZS 3,000,000 mpaka 10,000,000 au zaidi.

Sasa sehemu rahisi

Kupanga pesa ndiyo kazi ngumu. Acha Mialiko ishughulikie mialiko yako ili siku yako iende vizuri.

Maswali kuhusu bajeti ya harusi

Majibu ya moja kwa moja kwa maswali ambayo watu hutuuliza sana.

Hukupata unachotafuta? Wasiliana na timu yetu