Zaidi ya wageni 1,000 wameshaalikwa

Tuma mialiko ya harusi kwa WhatsApp & SMS.

Tupe taarifa za sherehe yako. Sisi tutadesign kadi, tutatuma mialiko, tutafuatilia RSVP na tutascan kadi ukumbini. Wewe kazi yako itakuwa ni kufurahia sherehe tu.

Sherehe tunazohudumia

Kadi za mialiko kwa sherehe yoyote, zinatumwa kwa kila mgeni kwa WhatsApp na SMS.

Harusi

Kadi zenye jina la kila mgeni na QR code yake.

Send off

Kadi za send off, zinatumwa kwa WhatsApp na SMS kama backup.

Kitchen party

Waalike wageni wote wa kitchen party na ujue nani anakuja.

Sherehe nyingine

Sherehe yoyote nyingine. Tuambie unahitaji nini, tutakuandalia.

Huduma zetu

Tunatuma mialiko mingi ya sherehe yoyote ndani ya muda mfupi, bila wewe kuhangaika.

Kudesign kadi

Huna haja ya kutafuta mtu wa kukudesignia kadi. Tupe taarifa za sherehe yako, sisi tutadesign kadi na kuweka jina la kila mgeni pamoja na QR code yake.

Kutuma mialiko (WhatsApp + SMS)

Kila mgeni anapata kadi yake kwenye WhatsApp, na SMS inatumwa pia ili kuwa na uhakika. Asiye na WhatsApp anaipata kwa SMS. Hakuna mgeni anayeachwa.

Live dashboard

Kwenye dashboard yako unaona kadi ngapi zimetumwa, nani amejibu, na nani ameshaingia ukumbini. Kila kitu kinaonekana papo hapo, huna haja ya kusubiri taarifa kutoka kwa mtu.

Also included

Kuscan kadi ukumbini muda wa kuCheck-in

Kwa sherehe inayofanyika Tanzania, timu yetu itafanya check-in siku ya sherehe. Kwa sherehe inayofanyika nje ya Tanzania, tutaifundisha timu yako ijue nini cha kufanya.

Kufuatilia RSVP

Unaona nani amekubali kuja, nani amekataa, na nani bado hajajibu. Huna haja ya kuwapigia wageni kuwauliza majibu.

Kutuma shukrani kwa waalikwa

Sherehe ikiisha, kwaniaba ya familia tutatuma ujumbe wa shukrani kwa wageni wote kwa mara moja. Wageni wanafurahi kuona umewakumbuka.

Wateja wetu wanasemaje

Ona wanachosema wateja wetu kuhusu huduma yetu.

Kilichonifurahisha zaidi, kadi yangu ilikuwa na maelezo ya ukumbi. Nilifika bila kumpigia mtu kuuliza ukumbi uko wapi.

Rehema Sweya
guest

Nilihofia kuwafuata wageni kuuliza majibu wakati nina mambo mengi ya kupanga. Kuona nani atakuja sehemu moja kuliifanya wiki ya mwisho iwe ya utulivu.

Asha Mrema
bride

Tuli-upload orodha ya wageni, tukalipia, na mialiko ikatumwa vizuri. Ilituepusha kuprint kadi za ziada na kumpigia kila mtu mmoja mmoja.

Daniel Mrisho
groom

Kilichonifurahisha zaidi, kadi yangu ilikuwa na maelezo ya ukumbi. Nilifika bila kumpigia mtu kuuliza ukumbi uko wapi.

Rehema Sweya
guest

Nilihofia kuwafuata wageni kuuliza majibu wakati nina mambo mengi ya kupanga. Kuona nani atakuja sehemu moja kuliifanya wiki ya mwisho iwe ya utulivu.

Asha Mrema
bride

Tuli-upload orodha ya wageni, tukalipia, na mialiko ikatumwa vizuri. Ilituepusha kuprint kadi za ziada na kumpigia kila mtu mmoja mmoja.

Daniel Mrisho
groom

Gharama zetu ni nafuu mno.

Unachopata

Hizi ndizo huduma utakazo pata, ukituchagua sisi. Bonyeza huduma kuona maelezo yake zaidi

  • Design ya kadi

  • kutuma mialiko kwa WhatsApp + SMS

  • Kufuatilia RSVP

  • Kuscan kadi ukumbini muda wa kucheck-in

  • Tuma shukrani kwa wote

  • Live dashboard

Standard

TSh 1,500/mgeni

Lipia kile unachotumia

Maswali yanayoulizwa sana

Majibu ya maswali ambayo watu wengi wanauliza kuhusu huduma yetu.

Hukupata unachotafuta? Wasiliana na timu yetu

Wasiliana nasi

Tupo tayari kukujibu maswali au kupokea maoni yako. Piga simu au tuandikie wakati wowote. Tunajibu haraka kuliko wageni wanavyojibu RSVP.

Mawasiliano

'Ndiyo' rahisi kuliko zote utakayosema

Sherehe yako inatakiwa iwe ya furaha, vicheko na kupakana keki, siyo kuhangaika na mialiko. Kazi ya kutuma kadi, kufuatilia nani atakuja na kuscan kadi ukumbini tuachie sisi 'Miaiko'. Wewe shughulikia kiapo chako na kucheza muziki.