Tools za bure za kupanga harusi
Tools rahisi za bure zitakazokusaidia kupanga harusi yako vizuri. Huhitaji account, na Mialiko itashughulikia mialiko wakati wowote utakapokuwa tayari.
Calculator ya bajeti ya harusi
Jua harusi yako itakugharimu kiasi gani kwa TZS, badilisha bei, ongeza vitu vyako, na uihifadhi kwenye simu yako.
Fungua toolExcel ya orodha ya wageni
Fomu tayari ya majina, namba za simu, na idadi ya watu. Ni fomu ile ile tunayotumia kutuma mialiko yako.
Fungua toolKufuatilia michango
Fuatilia ahadi na malipo, geuza kila mchango kuwa entrance count, na upate orodha ya wageni tayari kutuma.
Fungua toolKadi za harusi za bure
Design nzuri za kadi za harusi, tayari kuandikwa majina na kutumwa. Zinakuja hivi karibuni.
Fungua tool